Kilimo asilia kinavyoweza kulinda mazingira, afya na uchumi
“Ya kale ni dhahabu” ni msemo maarufu unaonesha ni kiasi gani vitu vya asili vilivyo na umuhimu katika kajamii. Kwa muda mrefu wakulima wa Zanzibar walikuwa wanatumia mbolea ambayo inatoka viwanda vya...
View ArticleJinsi Zanzibar inavyopoteza mapishi ya asili
Urithi wa kitamaduni (cultural heritage) ni eneo ambalo linapotea kwa kasi katika visiwa vya Zanzibar. Kumekuwa na ushajiishaji mdogo mno kwa Wazanzibari kuendeleza mapishi ya asili hasa yatokanayo na...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 11 Juni
Leo ni siku ambayo ripoti ya Kamati ya Pili ya Rais juu ya usafirishaji mchanga wa madini nje ya nchi itakapowasilishwa, huku mauaji ya Kibiti yakiendelea na kauli kali zikitoka. Kwenye safu ya...
View ArticleSaif al-Islam aachiwa huru
Kundi moja lenye silaha nchini Libya linasema limemuachia huru Saif al-Islam, mtoto wa kiume wa Marehemu Muammar Gaddafi, ambaye alikuwa kizuizini tangu Novemba 2011, kwa mujibu wa gazeti la The...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 12 Juni
Magazeti mengi yanazungumzia hatua ya kufutwa kazi kwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Nishati na Maji ya Tanzania Bara (EWURA) usiku wa manane na kwenye michezo ni ushindi wa Gor Mahia ya Kenya kwenye...
View ArticleNi kuona ama kuonya, kuonesha au kuonyesha?
Nawaomba radhi wanaukumbi kwa kuwarudisha nyuma kwenye mazungumzo ya juzi, kuhusu haya maneno yaliyoko hapa juu. Nianze kwa kuungama. Katika baadhi ya nyakati hutolewa maoni hapa, ambayo nami hutamani...
View ArticleAcheni propaganda, ujinga na ushenzi hauna dini
Vidio inasambaa mitandaoni. Vijana wanaonekana kumzonga kwa maneno na kumchapa bakora mtu anayetajwa kuwa mlevi katika mchana wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Hakika, ni kitendo kisicho cha Kiislamu hata...
View ArticleKama ulidhani Z’bar haiwezi kujitosheleza kwa chakula, ulikosea
Rehema Leonard Yohana alihama kwao Dodoma, uliko mji mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tangu mwaka 1997 na kupageuza Zanzibar kuwa nyumbani pake na watoto wake, na sasa sio tu kwamba anatumia...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 13 Juni
Takribani magazeti yote yanazungumzia Ripoti ya Kamati ya Pili ya Rais juu ya usafirishaji mchanga wa madini nje ya nchi na makandokando yake, huku michezoni wakijikita na usajili kwenye timu za soka...
View ArticleBaada ya Magufuli kumwaga ugali, Lissu amwaga mboga
Baada ya Rais John Magufuli kutishia ‘kuwashughulikia’ wabunge wanaosemasema ovyo dhidi ya anachokiita mwenyewe vita vyake vya kiuchumi na kumtaka Spika Job Ndugai naye afanye hivyo hivyo bungeni, sasa...
View ArticleMbowe aendelea ‘kushughulikiwa’
Kwa mara nyengine, mbunge wa Hai na mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ameandamwa na mikasa kutoka serikalini. Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Hai...
View ArticleMazombi wahasiri tena Zanzibar
Taarifa kutoka kisiwani Unguja zinasema kuwa kwa mara nyengine tena kundi la kiharamia, linalofahamika na wakaazi wa kisiwa hicho kama Mazombi, limemvamia, kumpiga na kumuibia kijana mmoja na kumuwacha...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 14
Stori kubwa ni wito wa kutaka viongozi wawili wakuu waliopita, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, washitakiwe kwa dhima yao katika kashfa ya mikataba ya madini, huku kwenye safu za michezo Baraza la...
View ArticleBarrick wamwangukia Magufuli?
Taarifa iliyosambazwa na Ikulu ya Tanzania muda mfupi uliopita inasema kuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ndiyo wamiliki wakubwa wa kampuni ya Accacia, Prof. John L....
View ArticleMusiloweza kulisema Tanganyika, mwalisema Zanzibar
Mimi sifichi msimamo wangu dhidi ya ‘siasa’ za huu tunaoaminishwa kuwa ni Muungano wa Tanzania kuelekea Zanzibar, ingawa naweka mpaka baina ya kusimama dhidi ya Muungano wenyewe na kusimama dhidi ya...
View ArticleMchanga wa madini waligawa taifa, sasa wananchi ndio waamuwe
KILIO cha wapinzani cha miaka yote kwamba raslimali za nchi zinaibiwa ama kutokana na uzembe wa wale wanaopaswa kuzilinda au kwa wao kuamua kushirikiana na waporaji hao, huku wakiwa wameiangamiza nchi...
View ArticleSerikali ya Magufuli yaifungia Mawiyo
Siku moja tu baada ya Rais John Magufuli kuonya vyombo vya habari dhidi ya kuwahusisha marais wastaafu na kashfa ya mikataba ya madini, waziri wake wa habari, Harrison Mwakyembe, amelifungia gazeti...
View ArticleZitto aitetea Mawio
Muda mchache baada ya serikali ya Rais John Magufuli kulifungia gazeti huru la Mawio kwa tuhuma za kuandika habari ha kuwahusisha marais wastaafu na kashfa ya mikataba ovyo ya madini, mbunge wa Kigoma...
View ArticleKwa mtaji huu, tutaendelea kuibiwa tu
Nimesikia mmoja wa wenyeviti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Andrew Chenge, anajitapa kwa kusema hawezi kufungwa kwa sababu alichokifunga (kusaini mikataba ya ovyo) kilikuwa na baraka...
View ArticleTanzania si taifa la watu kukosa maji
Tanzania ni mojawapo ya nchi chache sana duniani zenye neema tele ya maji. Hatujawahi kukosa maji hata siku moja! Ila tunashindwa tu kuyasambaza ili yaje kwenye makazi, mashamba na viwanda kwa ajili ya...
View Article