Habari zilizotufikia kutoka Mjini Unguja muda mfupi uliopita ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametembelea maduka ya nguo katika mitaa ya Mchangani na Mtendeni, siku chache kabla ya kumalizika kwa mfungo wa Ramadhan. Tunakuwekea picha za ziara hiyo hapa:
Filed under: HABARI
