Kashfa ya mikataba ovyo ya madini yaendelea kutawala vichwa vya habari katika kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania, huku kurasa za nyuma kwenye michezo, mada zikijikita kwenye mzozo kati Baraza la Michezo la Tanzania Bara na Shirikisho la Soka la huko juu ya uchaguzi pamoja na usajili.
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: Accacia, BMT, madini, magazeti, Tanzania, TFF
