Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 23 Juni

$
0
0

Kauli ya Rais John Magufuli juu ya marufuku kwa wanafunzi wanaopata ujauzito shuleni ndiyo iliyopewa nafasi kubwa kwenye kurasa za mbele, ambapo kurasa za nyuma zinajikita zaidi na namna Simba Sports Club inavyopandisha dau la wachezaji linaowasajili, hasa kutokea Yanga. 


Filed under: MAGAZETINI LEO

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles