Ziara ya Rais John Magufuli mkoani Pwani na yaliyojiri huko ni miongoni mwa mada kuu za leo, kikubwa kikiwa kiapo chake cha kupambana na ufisadi na wizi serikalini pamoja na ujenzi wa viwanda, na huku safu za michezo zikitandwa na simanzi ya kifo cha shabiki mkubwa wa timu ya Yanga, Ally Yanga, na pia uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF).
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: IPTL, John Magufuli, TFF, ufisadi
