Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Kubenea na Mwakyembe vidole machoni

$
0
0

Waziri mwenye dhamana ya habari kwenye serikali ya Rais John Magufuli, Harrison Mwakyembe, ametetea hatua yake ya kulifungia gazeti la Mawiyo, huku mmoja wa wamiliki wa gazeti hilo, Said Kubenea, akisema kuwa hatua ya Mwakyembe inatokana na chuki binafsi.

TANBIHI: Sauti zao zimechukuliwa katika mahojiano tafauti na Idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani, Deutsche Welle.


Filed under: SAUTI Tagged: Kubenea, Mawiyo, mwakyembe

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles