Takribani magazeti yote yametanda habari za kupandishwa kizimbani kwa washukiwa wa kuhujumu uchumi na wamiliki wa kampuni ya kuzalisha umeme ya IPTL, Habinder Singh na bilionea Rugemarila. Kwenye michezo bado uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara ndiyo mada kuu.
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: I PTL, Rugemalira, Seth Rabinder Singh
