Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 24
Mengi yana uchambuzi na maoni ya wataalamu na wanaharakati juu ya marufuku ya Rais John Magufuli dhidi ya wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito shuleni na vile vile kuhusu sakata la kashfa ya Escrow...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 25
Habari za Yussuf Manji kurejesha ufukwe wa Coco Beach serikalini, mjadala juu ya mauaji ya Kibiti na pia tathmini ya Edward Lowassa kuhusu utawala wa Rais John Magufuli ndizo zinazoshika nafasi za...
View ArticleBaada ya RITA kuwatambua wadhamini wa Lipumba, CUF yajibu
Chama cha Wananchi (CUF) kimewataka wanachama na viongozi wake wa ngazi mbalimbali kupuuzilia mbali hatua ya kusajiliwa kwa bodi ya wadhamini wa upande wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Profesa...
View ArticleRwanda ‘yailipa’ Sikukuu ya Eid
Katika hali isiyotarajiwa, serikali ya Rwanda imetangaza kwamba kesho Jumatatu (tarehe 26 Juni) itaendelea kuwa siku ya mapumziko kwa wafanyakazi wa sekta ya umma ili kuwapa nafasi ya kuendelea...
View ArticleACT yajitosa mzozo wa Ghuba
Chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo, kimekuwa cha kwanza katika taifa hilo kubwa kabisa Afrika Mashariki kutoa msimamo wake juu ya vikwazo vya mataifa sita ya Kiarabu dhidi ya Qatar,...
View ArticleLowassa asema sasa Uamsho imetosha, waachiliwe
Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa, amemtaka Rais John Magufuli kuwaachia huru masheikh wa Uamsho wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa. Akizungumza katika...
View ArticleKwa kweli siasa za Zanzibar ni ‘pasua kichwa’
Leo ukienda visiwa vya Zanzibar utashuhudia maghorofa kuanzia Unguja mpaka Pemba, mijini mpaka mashakani, maghorofa hayo yote naambiwa yalijengwa na Hayati Mzee Abeid Karume! Mzee Karume alijenga...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 26
Onyo la Edward Lowassa kutaka masheikh wa Uamsho wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa waachiliwe, hatua za serikali ya Rais John Magufuli kukabiliana na ufisadi kwa kushughulikia kesi za nyuma...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 28
Mada kubwa kuliko zote ni tukio la jana la kuitwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kwa mahojiano ya masaa manne na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai jijini Dar es Salaam, huku taarifa ya Rais John...
View ArticleRamadhani nyengine imepita, dhuluma dhidi ya Uamsho bado yaendelea
Kwa hakika sijui ni kitu gani kilichokuwa kimenifanya niamini kuwa Ramadhani ya mwaka huu isingelimalizika kabla ya viongozi na wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ya Zanzibar...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 29
Miongoni mwa yaliyoangaziwa leo ni mauaji yanayoendelea Kibiti, kauli ya Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hujuma za Mamlaka ya Urajisi Tanzania Bara (RITA) na kurudi tena kwa Edward...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 30
Miswaada ya Sheria inayotajwa kulinda rasilinali za nchi, mashitaka ya utakatishaji fedha dhidi ya viongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF) na timu ya Simba Sports Club na kauli za CHADEMA...
View ArticleHuu si wakati wa Afrika kuidekeza Israel
“UMEKUJA kufanya nini huku?” aliniuliza kwa hasira Mpalestina wa makamo aliyekuwa dereva wa shirika moja la Umoja wa Mataifa mjini Jerusalem ya Mashariki. “Watu kama nyiye mkija huku ni tatizo,”...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 2
Hotuba ya jana ya Rais John Magufuli kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Sabasaba pamoja na uwezekano mwengine wa watuhumiwa wa ufisadi kupelekwa mahakamani ndizo mada kubwa, huku michezoni mechi ya timu ya...
View ArticleRais Magufuli aifananisha Segerea na Guantanamo
Wakati miito ikizidi kuongezeka ya kutaka serikali iwaachie viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ya Zanzibar wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa katika magereza ya Tanzania...
View ArticleUnyooshaji nchi uelekezwe mote
Jitihada za kuikarabati nchi yetu, kama kweli zimekilenga kinachosemwa, kuitakatisha na kuiimarisha nchi, zielekezwe kwenye maeneo yote kwa kupagusa kila panapoonesha kuleta dosari katika uimara na...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 3
Onyo la Rais John Magufuli dhidi ya wanaowatetea viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ya Zanzibar wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa katika magereza ya Tanzania Bara ndio...
View ArticleUpinzani Tanzania wasema miswaada ya dharura ya madini ni ‘nakshinakshi’ tupu
“Kwa hiyo, yale mambo yote mazuri yaliyotajwa kwenye dibaji ya Muswada wa Sheria hii, ikiwa hayatatekelezwa na Serikali au ikiwa Serikali itakwenda kinyume nayo, au ikiwa mtu ataathirika kwa namna moja...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 4
Kesi inayowahusisha vigogo wa kampuni ya IPTL yaendelea huku mashitaka yao yakiongezwa, sambamba na ile ya viongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF) na miswaada ya Sheria za Madini...
View ArticleLipumba amjibu Maalim Seif kuhusu RITA
Mwenyekiti aliyejiuzulu nafasi yake katika Chama cha Wananchi (CUF) na kisha kujirejesha katika mazingira ya kutatanisha mwaka mmoja baadaye, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema Katibu Mkuu wa hicho,...
View Article