Mada ni mchanganyiko. Kuanzia za mazungumzo yanayotarajiwa kuwepo kati ya serikali ya Rais John Magufuli na kampuni ya Barrick Gold hadi taarifa za kiuchunguzi kuhusu kushamiri kwa biashara ya viungo vya binaadamu nchini. Kwenye michezo bado mada za usajili wa timu za soka na uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF) zinashika nafasi.
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: ACACIA, magazeti, Magufuli, Makinikia, Tanzania, TFF
