Zitto naye mikononi mwa polisi
Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo na mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zuber Kabwe, amekuwa kiongozi wa karibuni kabisa wa upinzani nchini Tanzania kutiwa nguvuni na jeshi la polisi, kwa...
View ArticleLa Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – II
Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa uchambuzi huu, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud, alizungumzia nadharia ya mtego wa komba akiufananisha na namna viongozi wa Zanzibar...
View ArticleLima na Zaima: Kitalu chako kitayarishe hivi
Kwenye mfululizo huu wa vipindi vya Lima na Zaima, tunakuletea maarifa juu ya namna bora zaidi ya kutayarisha kitalu chako cha miti kwa ajili ya kupata miche bora ya shambani kwako, maana bila ya kuwa...
View ArticleBaada ya mauaji mengine ya kikatili, sasa CHADEMA yataka wanachama wajilinde
Kufuatia mauaji mengine ya kikatili dhidi ya diwani wake, Godfrey Luena, sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wanachama wake popote walipo kujilinda wenyewe dhidi ya mashambulizi...
View ArticleEU yalaani ukatili, vitisho Tanzania
Jumuiya ya Umoja wa Ulaya hivi leo wametoa tamko lifuatalo kwa ushirikiano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wenye uwakilishi Tanzania na kuungwa mkono na Mwakilishi na Mabalozi wa...
View ArticleCUF Pemba wamuonya Lipumba, polisi
Chama cha Wananchi (CUF) kisiwani Pemba kimetoa onyo kali dhidi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, Prof. Ibrahim Lipumba, kwamba asijaribu kukanyaga kisiwani huko kuendesha kile...
View ArticleLissu amjibu Msajili Mutungi
Nimesoma barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, yenye tuhuma na vitisho vingi dhidi ya CHADEMA. Bila kutoa ushahidi wowote na kwa kutegemea taarifa za upande mmoja tu, Msajili...
View ArticleCUF yatoa kauli rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Nassor Ahmed Mazrui, kimeikanusha vikali barua iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba, likidai kupokea barua ya CUF kuridhia kufanyika kwa...
View ArticleLa Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – III
Katika sehemu ya pili ya uchambuzi huu, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud, alianza kuvichambua vifungu vya Katiba Inayopendekezwa iliyopitishwa kwa shangwe na kutetewa na wana-CCM...
View ArticleRiwaya: Safari ya Kumuua Rais – 2
Ilipoishia shemu ya kwanza! Tuliona jinsi Abdull na Talib ambao ni ndugu walivyotoka Dodoma na kufika Dar es Salaam, baada ya mapumziko ya siku chache wakaelekea Zanzibar katika kisiwa cha Unguja. Huko...
View ArticleLa Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – IV
Kwenye sehemu ya tatu ya uchambuzi huu wa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud, mwandishi alimalizia kuchambua baadhi ya ibara za Katiba Inayopendekezwa vinavyoiangamiza kabisa...
View ArticleKutana na mwanamke aliyekataa kuvuliwa nguo jela
Licha ya kwamba maafa ya Januari 2001 visiwani Zanzibar yamepita, lakini ukweli ni kuwa yamebakia hadi leo ndani ya nafsi na miili ya watu. Mmojawapo ni Bi Fathiya Zahran Salum ambaye siku ya tarehe 26...
View ArticleCUF yazitangaza NEC, ZEC maadui wa taifa
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ile ya Zanzibar (ZEC) ndio maadui wakubwa kwa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMbowe asema wananchi wanataka kulipiza kisasi, lakini anawazuwia
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa wananchi wanaushinikiza uongozi wa chama hicho kuwaruhusu kutumia njia zao wenyewe kujilinda na kulipiza kisasi...
View ArticleDhamana ni haki yako
Kama ambavyo polisi wana haki ya kukukamata kwa kufuata masharti ya kisheria, basi pia nawe una haki ya kupatiwa dhamana haraka iwezekanavyo kwa masharti hayo hayo ya kisheria. Msikilize Rais wa Chama...
View ArticleWazanzibari ‘wanaoushitaki’ Muungano wahofia maisha yao
Kiongozi wa kundi la Wazanzibari 40,000 waliofunguwa kesi kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rashid Salum Adi, anasema anakhofia usalama wa maisha...
View ArticleMaalim Seif afichua siri za kuvamiwa Mtendeni
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amefichua njama zilizopangwa kwenye tukio la uvamizi wa vyombo vya dola katika makao makuu ya chama chake yaliyopo Mtendeni, Mjini...
View ArticleLHRC yawatupia lawama NEC, Msajili
Shirika la kutetea haki za binaadamu la LHRC nchini Tanzania linasema kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini humo ni miongoni mwa taasisi zilizoshindwa...
View ArticleHoteli ya nyota tano na ukumbi wa kimataifa kujengwa Micheweni
Kampuni ya Kimataifa ya VAULT yenye Makao Makuu yake mjini Washington Marekani imeonesha nia ya kutaka kuweka Miradi ya Kiuchumi katika Ukanda wa maeneo huru ya Kiuchumi uliopo Micheweni Mkoa wa...
View ArticleTiba: Neema zilizo rahisi kwa mtu kuhusudika
Kwenye mfululizo huu wa makala za Nuru ya Tiba, leo Sheikh Sultan Al Mendhry anafafanua neema nne ambazo mwanaadamu anapokuwa nazo, huwa rahisi kwake kufanyiwa hasadi na akadhurika kwazo.
View Article