Lissu wa dhahabu
Mkononi mwangu nina kitabu kiitwacho ‘A Golden Opportunity? Justice & Respect in Mining’ (Fursa ya Dhahabu? Haki na Heshima kwenye Madini) cha mwaka 2008. Waandishi wake ni wawili – Mark Curtis na...
View ArticleNguvu ya Lissu ni kubwa kuliko ya risasi
Sisi wengine tangu siku ya mwanzo akina Nape Nnauye walipokuwa wakitetea uamuzi wa serikali ya awamu ya tano kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya bunge kupitia televisheni ya taifa kwa madai ya kubana...
View ArticleSi nchi istahiliyo kuongozwa kihuni
NILIPOMSIKIA Mohamed Aboud Mohamed, mwanasiasa ndani ya CCM anayeitwa waziri katika serikali anayoiongoza Dk. Ali Mohamed Shein, akitaka Jeshi la Polisi Tanzania kuwa makini na baadhi ya viongozi wa...
View ArticleKama vile Dk. King, hata kifo kisingemuua Lissu
Nimefuatilia kwa makini mazungumzo yanayoendelea katika mitandao ya kijamii, magazeti ya nchini pamoja na vyombo vyenginevyo vyenye kutoa taarifa tangu siku ya tarehe 7 Septemba mwaka huu, baada ya...
View ArticleMayatima na wajane wa kisiasa hadi lini Zanzibar?
Ali Juma Suleiman alivamiwa na kikosi kikubwa cha watu usiku wa tarehe 26 Septemba mwaka huu nyumbani kwake Mtoni, Unguja. Mke wake, Bi Rehema Nassor Juma, anasema alishuhudia askari wenye sare za...
View ArticleHali ya hewa muruwa jijini Dar es Salaam
Baada ya miezi kadhaa ya vumbi na joto kali, hali ya hewa imeimarika suala ambalo limepelekea kiwango cha maradhi kupunguwa. Awali wakaazi wengi waliathiriwa na hali hio likiwemo ibuko la maradhi kama...
View ArticleBalozi Seif kuzindua meli maalum ya utafutaji mafuta na gesi asilia Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kesho Oktoba 27, 2017 anatarajiwa kuzindua meli maalum kutoka nchini China ambayo itafanya utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia katika miamba ya...
View ArticleWizara ya elimu Zanzibar yataja idadi ya wanafunzi waliopata mikopo ya elimu...
Jumla ya Wanafunzi 1,600 wanatarajiwa kupatiwa mikopo ya masomo kwa ngazi za shahada ya kwanza, shahada ya pili pamoja na shahada ya tatu kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kupitia Bodi ya...
View ArticleZanzibar yakabidhiwa vifaa maalum vya kugundua watumiaji wa dawa za kulevya
Wagonjwa wanaotumia dawa aina ya ‘Methadone’ kama tiba baada ya kuathirika na dawa za kulevya na wanaoutumia aina nyengine ya dawa kwa njia za siri wamepatiwa muarubaini baada ya kupatikana vifaa...
View ArticleKampuni ya Huawei mbioni kuutambulisha mpango wake wa utoaji elimu kwa njia...
Kampuni ya Huawei, yenye makao yake makuu mjini Shenzhen nchini China, inatarajia kuutambulisha mpango wake wa utoaji elimu kwa njia ya Tehama, unaojulikana kwa jina la E-education. Hayo yalibainishwa...
View ArticleNamna ya kulitayarisha wa shamba la miti
Kilimo ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanaadamu, maana bila ya kula hataweza kuishi na hawezi kula kama hapajalimwa. Lakini ili kilimo kiwe endelevu na kuyafaidisha mwanaadamu, ni lazima pawe na uwiano...
View ArticleWawakilishi waijia juu serikali kesi ya Kiringo
Wajumbe kadhaa wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar hivi leo wameijia juu serikali, baada ya kupokea taarifa kwamba mshukiwa wa ubakaji watoto wadogo, Hassan Aboud Talib (Kiringo), aliyekamatwa jana...
View Article‘Subalkheri Mpenzi’ yawaweka mashakani akina Aslay
Msanii wa kizazi kipya kutoka Tanzania Bara ambaye ameiimba tena nyimbo mashuhuri ya ‘Sabahalkher Mpenzi’ iliyoimbwa miaka ya zamani na Mwanapombe Hiyari na Marehemu Sami Haji Dau, amewasili Zanzibar...
View ArticleMbunge wa Malindi amlima barua Infantino wa FIFA
Mbunge wa jimbo la Malindi, mwandishi wa habari na mwanamichezo, Ally Saleh, amemuandikia barua ya wazi Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, siku chache kabla ya kiongozi huyo...
View ArticleFIFA haina hoja kuinyima Zanzibar uanachama – Alberto
Imeelezwa kuwa hoja ya Shirikisho la Soka la Ulimwengu (FIFA) kuwa haliwezi kuipa uwanachama Zanzibar kwa kuwa si mwanachama wa Umoja wa Mataifa haina mashiko kwa kuwa FIFA ina wanachama wengi zaidi...
View ArticleKubenea azidi kumng’ang’ania Mwigulu mauaji ya Akwilina
Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Saeed Kubenea, amemtaka kwa mara nyengine tena Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (CCM), kujiuzulu nafasi yake akimtuhumu kuwa hawezi tena kuaminika...
View ArticleCCM Zanzibar yalia na ‘viringo’
Chama cha Mapinduzi upande wa Zanzibar kimepaza sauti yake dhidi ya tabia inayoendelea kukuwa ya kuwaharibu watoto wadogo kikitaka sheria kali iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi isainiwe haraka na...
View ArticleLa Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba
KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanampa sifa nyengine, nayo ni ya ujasiri. Anapotafuta anachokitaka, hachelei kuingia katika nyumba ya mtu na hata chumbani. Pamoja na udogo wake,...
View ArticleWavumbuzi wa SUZA wafanya maajabu mengine
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA Secondary) wameibuka tena na ushindi kwenye jukwaa la kimataifa, baada ya kushinda tuzo ya biashara katika mashindano yafahamikayo kama...
View Article