Tusiruhusu kutawaliwa na mademagogi
BAADA ya mkasa uliomkuta Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, wiki iliyopita, nimekumbuka kwa uchungu, mazungumzo yangu na waandishi wa habari tarehe 12 Februari 2017, ofisini kwangu Mwanza, anaandika Ansbert...
View ArticleNgeleja, shujaa au fisadi aliyeogopa?
Makala hii imeandikwa na Julius Mtatiro, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) kwenye ukurasa wake wa Facebook ikiwa na kichwa cha habari...
View ArticleKama kichwa cha treni
Naendeshwa, kama kichwa cha treni Hidogoshwa, kama yaya wa nyumbani Hichezweshwa, kama vile punguani Hiamka, ni mbio kutwa ni njiani Hekaheka, za kutisha insani Hivunjika, wananitupa jaani Niendako,...
View ArticleMaalim Seif anaringia uadilifu wake
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, ana sifa ya kuuthibitisha ukweli anaouamini hata akiueleza kwa namna ya kubashiri kinachoweza kuja mbele ya safari. Sifa hii...
View ArticlePale serikali inapoboresha maslahi wasio Wazanzibari ndani ya Zanzibar na...
Tarehe 2 Julai 2017, kwa nia wizara ya kazi, uwezeshaji, wazee, vijana, wanawake na watoto ilitangaza kima kipya cha mishahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi Zanzibar kupitia Waraka wa Sheria Nambari...
View ArticleSMZ iondowe utata kima cha mishahara sekta binafsi
Nimelichukuwa tena na kulisoma kwa makini zaidi agizo la serikali lililochapishwa katika Waraka wa Sheria Nambari 68 (The Legal Notice No.68) kuhusu ongezeko la mshahara wa kima cha chini kwa sekta...
View ArticleWatanzania ni wajinga si wapumbavu
KAULI chafu za Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, kila mara anapofungua kinywa chake kuzungumza dhidi ya wale anaowahesabu kuwa wapinzani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaudhi, lakini hazishangazi. Kwa...
View ArticleJe, Tanzania yaweza kupata maendeleo ya kiuchumi kwa kubaka demokrasia?
Shutuma kwamba utawala wa awamu ya tano wa Rais John Magufuli unaibinya roho demokrasia changa ya taifa hili kubwa kabisa Afrika Mashariki zina mashiko yake kwa kuangalia rikodi ya yale yanayotendwa...
View ArticleUbaguzi ni asili ya serikali dhalimu
TUKIO la Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, Mwinyi Usi Makame kufika hospitalini kumjulia hali kijana anayefanya kazi ya utingo wa daladala aliyejeruhiwa na wahuni akiwa...
View ArticleLissu atiwa nguvuni
SIKU moja baada ya polisi kumhakikishia Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuwa yupo huru na hakuna mpango wa kumkamata, hatimaye leo Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limemkamata akiwa uwanja...
View ArticleKwani upinzani wa kisiasa ni adui wa maendeleo?
ZIMEKUWEPO hisia miongoni mwa nchi za Kiafrika kuwa upinzani wa kisiasa ni kama njia ya kuzorotesha maendeleo! Hisia hizo zinatolewa na serikali zinazokuwa zimeingia madarakani kwa njia ya kudai...
View ArticleGuantanamo isifananishwe Segerea
SI sahihi sana kumuingiza Rais John Magufuli katika chungu kimoja tu cha kuukosoa utendaji wake wote. Yapo ambayo anapatia, na kwa nionavyo, kwa hayo, amekuwa mfano kwa viongozi wengine. Mapambano yake...
View ArticleKiburi kinachoelezea shibe hakifai
KIBURI ni uovu uliokatazwa na maandiko matakatifu. Mwenye nacho amedharau utu. Ni kwa maana hiyo hata wahenga walifikia hitimisho la kuwa na methali ya Kiswahili inayosema ‘kiburi si maungwana.’...
View ArticleRiziki Shahari: Mamlaka ya Bunge kikatiba siyaoni
UKIJUA historia ya ujanani kwake alivyokuwa akisoma hadi alipohitimu elimu ya kidato cha tano katika Shule ya Wasichana ya Korogwe mwaka 1980, ndio utaelewa ni kwa nini leo Riziki Shahari Mngwali...
View ArticleEscrow ichunguzwe upya
KASHFA ya kuchotwa fedha zilizokuwa zikibishaniwa na washirika wawili wa kibiashara hapa nchini – Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kampuni ya IPTL – Akaunti ya Tegeta Escrow – imeibuka upya kwa...
View ArticleNguzo ya pili ya mitaji ya mafanikio ni fikra
Katika makala ya juma lililopita niliweka bayana kwamba nguzo ya kwanza ya mitaji ya mafanikio ni Afya Njema ya Mwili. Mwili wenye afya njema ndicho chombo cha kutekelezea mawazo yako endapo ni mazuri,...
View ArticleLa Zanzibar kufukuzwa CAF, tuangalie tulipojikwaa
Ijumaa ya tarehe 21 Julai 2017 itachukuwa muda mrefu kwangu kusahaulika. Kwenye ukurasa wa Facebook, mtumiaji mmoja alikuwa ametuma taarifa iliyoandikwa na dawati la michezo la mtandao wa Shirika la...
View ArticleKinachowafanya Uamsho waendelee kusota rumande
Serikali zote duniani zinakuwa na nguvu nyingi, ukiacha vyombo vya dola ambavyo siku zote husimama imara vikiwa upande wao, hata ikitokea serekali inaboronga basi wao huendelea tu kusimama nayo. Ni...
View ArticleLipumba na ugonjwa wa kutokuwa na uhakika
Ni kitendo kilichowaumiza wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), pale Prof. Ibrahim Lipumba alipotangaza kujiuzulu wadhifa wake wa uwenyekiti wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015. Si tu kwa...
View ArticleMagufuli anawauzia Watanzania tamaa ya maendeleo kwa gharama ya demokrasia yao
Kwa hakika, Rais John Magufuli anaonekana kuwalazimisha raia wake kufanya naye biashara ya gizani. Yeye awauzie maendeleo, nao wamlipe kwa gharama ya demokrasia angalau hadi mwaka 2020 wakati wa...
View Article