Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 5
Kukamatwa tena kwa mfanyabiashara Yussuf Manji, kauli mpya ya Rais Magufuli kuhusu zuio la leseni za madini na kukamatwa kwa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, ndizo mada kuu kwenye kurasa za mbele...
View ArticleNdiyo kwa ‘uchumagu’, hapana kwa ‘umagukrasia’
Kitu kimojawapo ambacho Rais John Magufuli anajipambanuwa nacho kwa haraka na watangulizi wake, ni tabia yake ya kutokuwa na ajizi na vile kutozingatia kwake mipaka kwenye huko kutokuwa na ajizi. Hayo...
View ArticleSiasa ni utalii kwa Nyanda za Juu Kusini Magharibi
Mahali popote penye vivutio vya utalii panapaswa kujihusisha na siasa za utalii ili kujadiliana, kujipanga na kuainisha sera na mikakati ya kuendeleza na kutangaza vivutio vya utalii vinavyoweza kuinua...
View ArticleMadiwani wa CUF wamsuta Lipumba, waungana na Maalim Seif
Madiwani 19 wa Chama cha Wananchi (CUF) katika jiji la Dar es Salaam wameungana na Katibu Mkuu wa chama chao, Maalim Seif Sharif Hamad, wakimtuhumu mwenyekiti wa zamani, Ibrahim Lipumba, kwa...
View ArticleMajaliwa awang’ang’ania wanaopata ujauzito shuleni
Kwa mara nyengine tena, serikali ya Rais John Magufuli imepigia msumari kwenye msimamo wake wa kutokuwakubalia wanafunzi wa sekondari na msingi wanaopata ujauzito kurejea masomoni baada ya kujifunguwa,...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 6
Mashitaka mapya dhidi ya mfanyabiashara Yussuf Manji, kauli ya mkuu wa jeshi la polisi, IGP Simon Sirro, kuhusu mauaji ya Kibiti, na kuendelea kuandamwa kwa viongozi wa upinzani ndizo mada kuu kwenye...
View ArticleBaada ya kukung’utwa na madiwani wa Dar, sasa Lipumba atemwa na kanda 6 Bara
Wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wa kanda sita za Tanzania Bara wameungana na madiwani 19 wa jiji kuu la kibiashara na kiuchumi, Dar es Salaam, kumkana mwenyekiti wa zamani wa chama chao, Profesa...
View ArticleMtoto Masoud anahitaji msaada wako
Mtoto Masoud Khalfan Sanani ana umri wa miaka minane na ni mwanafunzi wa skuli ya msingi. Anaishi na wazazi, bibi na ndugu zake, Fuoni Michenzani, kando kidogo ya kitovu cha mji mkuu wa Zanzibar. Kwa...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 7
Mauaji ya jeshi la polisi dhidi ya wanaoshukiwa kuwa ‘wauaji’ wa Kibiti, kujiuzulu kwa jaji mwengine wa Mahakama Kuu, na kumalizika kwa muda wa rufaa za vyeti feki na kwenye kurasa za michezo ni msiba...
View ArticleMapinduzi kwenye muziki ni muhimu
KWA mara ya kwanza Tanzania imeamua kuithamini sanaa ya muziki na kuichukulia kama njia mojawapo inayoweza kuwaingizia kipato halali wale wanaojihusisha nayo ikiwa ni pamoja na kuliingizia kipato...
View ArticleIdris Sultan aula Hollywood
Baada ya wiki ya mchakato wa ukaguzi wa karibu, Mshindi wa Big Brother Africa-Hotshots wa 2014, Idris Sultan ataonekana katika filamu inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ya Kimarekani ya ‘Ballin …On the...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 8
Uwezekano wa kupatikana ufumbuzi wa tatizo sugu la madawa mahospitalini, yanayozidi kuwaandama wapinzani kutoka vyombo vya dola, na hatua zaidi dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi ndizo mada kuu leo...
View ArticleMadaraka yatumiwayo vibaya ni janga kwa taifa
MAMLAKA na madaraka ni vitu hatari. Vinahitaji umakini mkubwa kuvimudu. Ni kwa sababu vitu hivyo wakati mwingine vinalevya na kumfanya aliye juu yavyo kujisahau na kujiona ni kitu kingine tofauti na...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 9
Mauaji ya polisi dhidi ya watu sita wanaoshukiwa kuwa wauaji wa Kibiti mkoani Mwanza, mauaji ya mtu mmoja anayeshukiwa kuuawa na wauaji wa Kibiti huko huko Kibiti, na mwendelezo wa uchambuzi wa kesi za...
View ArticleZaidi ya wasichana 200,000 waolewa Marekani
Wakati mataifa tajiri ya Magharibi yakijidai kukazana kutoa mafunzo ya ustaarabu, haki za binaadamu na maadili kwa mataifa masikini duniani, ukweli ni kuwa ndani ya mataifa hayo kwenyewe kuna uvunjwaji...
View ArticleLipumba apingwa kila kona, sasa zamu ya Unguja
Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) wa wilaya zote saba za kisiwa cha Unguja wamejitokeza hadharani kumpinga aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, wakimshutumu kwa kushirikiana...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 10
Kuitwa tena kwa Edward Lowassa katika Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, kauli za Benjamin Mkapa juu ya uwajibikaji na haki na dhamira ya serikali ya Rais John Magufuli kujenga bwawa la umeme...
View ArticleKutana na mwanamme wa kwanza kujifunguwa mtoto Uingereza
Mwanamme wa kwanza kuwahi kupata ujauzito nchini Uingereza amejifunguwa salama mtoto wa kike. Hayden Cross mwenye umri wa miaka 21 alipata umaarufu duniani pale alipotangaza kwamba ana ujauzito...
View ArticleNgeleja arejesha chenji ya Escrow
Waziri wa zamani wa nishati na madini wa Tanzania Bara, William Ngeleja, anasema amezirejesha fedha zote alizopewa ‘msaada’ na mfanyabiashara James Rugemalira mwaka 2014, akidai kuwa hakujuwa kuwa...
View ArticleCHADEMA yaungana na CUF kumng’oa Lipumba
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinasema sasa kinauvaa mgogoro wa kiuongozi kwenye mshirika wake, Chama cha Wananchi (CUF), ambacho kinadai...
View Article