RAIS Ahmed Abdallah wa Comoro aliyeuliwa Novemba 26, 1989 na askari wa kizungu aliowakodi mwenyewe, anakumbukwa kwa mengi. Kuna wanaomuona kuwa shujaa kwa kuthubutu kuikabili Ufaransa na kutangaza kuwa Comoro ni taifa huru Julai 6, 1975. Wapo pia wanaomlaumu kwa kuwa sababu ya kumeguka kwa kisiwa chane cha Mayotte ambacho hadi leo kimo mikononi mwa Ufaransa.… Continue reading Muungano unalindwa kwa nguvu
↧