Chake-Chake, PEMBA: Chama cha ACT-Wazalendo kimeapa kuwachukulia hatua za kinidhamu wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho watakaobainika wakijihusisha na vitendo vya rushwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Juni 30) na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akizungumza na wanachama wa mkoa wa Chake Chake kichama, ikiwa ni muendelezo… Continue reading ACT-Wazalendo yakemea rushwa kwenye uchaguzi
↧