JUMAPILI, Novemba 9, 1975, siku mbili kabla ya Ureno kusalimu amri na kuipa Angola uhuru wake, Radio Tanzania, Dar es Salaam, ilinguruma ikiwapasha Watanzania habari motomoto wasizozitarajia siku hiyo ya mapumziko. Habari hizo ziliihusu serikali yao. Rais Julius Nyerere aliibadili serikali yake kwa kuliteua Baraza jipya la Mawaziri. Majina ya mawaziri na wizara zao zilipotangazwa, … Continue reading Babu alipokuwa mgeni wa Nyerere
