Niwakumbushe tu wenzangu kwamba wimbi la mabadiliko linapofikia wakati wake huwa halizuiliki tena. CCM isitarajie kuendelea kubakia madarakani kwa kutumia njia za hadaa, udanganyifu, hujuma, nguvu, ubabe na vitisho. Hii…
↧