Kuna msemo maarufu wa Kiswahili usemao: “Siku za mwizi ni arubaini” ukimaanisha kwamba mwizi aibe aibavyo, ajifiche ajifichavyo, akimbie akimbiavyo, adanganye adanganyavyo, lakini safari yake hiyo chafu ya wizi haidumu […]
↧