Ilikwishajulikana tangu mapema kuwa theluthi mbili 2/3 ya Kura za Zanzibar isingepatikana! Lakini zilifinyangwafinyangwa mpaka tukatangaziwa kuwa zimepatikana! Hili lilikuwa ndani ya uwezo na ghilba za kibinadamu! Lililotarajiwa baada ya hapo ni Kura ya Maoni kuhusu hiyo Katiba waliyoipendekeza kwa kulazimisha theluthi mbili! Kwa mujibu wa Sheria ya kutunga Katiba Mpya, Mchakato mzima ulikuwa umepangwa … Continue reading Katiba ishaota mbawa
