“CCM inapaswa kujitayarisha kisaikolojia kuupokea ukweli huo. Wala isije ikajitia wazimu wa kuiingiza nchi kwenye machafuko kwa kuwa imekataliwa na umma. Ikajipange kwenye upinzani ili isije ikapotea kama KANU ya Kenya au UNIP ya Zambia. Bora kuwa mpinzani mwenye uzoefu wa kutawala, kwa sababu kunaweza kuwapa muda wa kujipanga upya na kujitathmini. Labda wakaweza kurudi […]
↧