Dunia imesikia yaliyojiri Nigeria. Baada ya miaka 16 tangu uanze uchaguzi wa kidemokrasia hatimaye Wanigeria walio wengi wameamua kwamba wakati wa MABADILIKO (CHANGES) umewadia. Wamekipa fursa chama tawala mara tatu lakini hakuna cha maana kilichofanywa. Licha ya utajiri mkubwa wa mafuta walionao, Wanigeria walio wengi wanaishi katika ufakiri wakikosa huduma za msingi kabisa zikiwemo za … Continue reading Wanigeria wameamua, Wazanzibari wanafuatia
