Ingawa waliletwa wapishi wengine kuchoma ndafu na kutengeneza pilao ya kuwalisha watu mithili ya Biblia, bado Hidaya wako amekimbia kupika hiki na kile kiasi kwamba bora usije maana unaweza kunikana nisivyotamanika na michirizi na mikunjo ya uchovu. Lakini matokeo yake … sifuri. Umeona akitangazwa kwenye gazeti lolote? Thubutu. Na watu wengine alioweza kuwashawishi kuandamana kwake … Continue reading Kikombe kimoja tu kwake, mambo yote poa tehe tehe tehe
