Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Kwa nini tunakubali?

$
0
0
IKIWA kila Mtanzania atachukuwa kalamu na karatasi na kuyaeleza maisha yake tangu Tanganyika iwe huru mwaka 1961 na Zanzibar iwe Jamhuri mwaka 1964, tutapata hadithi ndefu sana. Nusu karne ushei si muda wa dhihaka. Ikiwa kila mmoja wetu ataandika kitabu kuhusu maisha yake yalivyokuwa katika kipindi hicho pengine vitabu hivyo vitaweza kugusa mbingu kwa urefu … Continue reading Kwa nini tunakubali?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles