Umewahi kusikia ndoa ikipandishiwa? Imetokea Zanzibar
Mwanamke mmoja visiwani Zanzibar anaripotiwa kuamuriwa na mahakama kurudi kwenye ndoa yake ya awali, baada ya kubainika kuwa ameolewa mara ya pili, akiwa bado hajaachika kwenye ndoa ya awali. Kitendo...
View ArticleHii inaitwa mwana ukome
Kawaida simba anatambuliwa kuwa Mfalme wa Mbugani akiogopewa na kila mnyama sio tu kwa ukatili wake, bali zaidi kwa uthubutu wake mbele ya yeyote awaye. Lakini hapa baada ya kumla ndama wa nyati, kundi...
View ArticleChina yapangua operesheni za CIA, yawauwa majasusi wa Marekani
Serikali ya China imezipangua operesheni za upelelezi za Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) ndani ya China kuanzia mwishoni mwa mwaka 2010 na kuwauwa au kuwafunga jela zaidi ya mashushushu 20 wa...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 21 Mei 2017
Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alimkabidhi rasmi uwenyekiti wa Jumuiya hiyo mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni, simulizi...
View ArticleSumaye ang’atuka CRDB kwa sababu za kisiasa
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, ameamua kujiuzulu ujumbe wa Bodi ya Benki ya Maendeleo (CRDB) akisema hataki benki hiyo...
View ArticleHuku ndiko kuponea chupuchupu…
Katika maisha, kuna wakati unakumbwa na mkasa mkubwa kabisa unaokaribia kabisa kuyatoa maisha yako, lakini kwa namna moja ama nyengine ukanusurika na kutoka salama usalimini, lakini katika mazingira...
View ArticleBarua ya Marehemu Malima yafichuwa aliyotendewa na JK
Visa na vitimbi vilivyozuka ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 vinashabihiana sana na kile kilichotokea miaka 20 nyuma wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi wa kwanza tangu...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Mei 22
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, azungumzia mauaji ya kushitukizia yanayoendelea mkoani Rufiji akiyaita “fumbo”, shutuma dhidi ya Anthony Diallo juu ya uhusiano wake na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
View ArticleAamuwa kufunga ndoa siku chache kabla ya kifo
Mwanamme mmoja nchini Uingereza aliyebakiwa na siku chache tu za kuishi amemuowa mchumba wake wa siku nyingi, baada ya sherehe ya harusi iliyoandaliwa masaa 24 tu na wasamaria wema, linaripoti gazeti...
View ArticleHivi Magufuli autaka kweli Muungano?
Ni jambo la kawaida viongozi wetu kula viapo vya kuulinda Mungano wa Zanzibar na Tanganyika na huyu Rais John Pombe Magufuli viapo vyake huwa vikali zaidi kwa sababu ya khulka yake ya kujifanya si mtu...
View ArticleUlipumba unadumaza demokrasia
KATIKA siasa za Tanzania kuna kupakaziana kwa kila aina, walio madarakani huwakazia wa upande ule wanaoitwa wapinzani. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiliitwa chama cha Wachaga kwa sababu...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 23 Mei 2017
Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, juu ya mauaji ya Kibiti yachambuliwa, bajeti ya kilimo bungeni, na huku kurasa za michezo zikijikita kwenye hali ya soka baada ya vijana wa U17...
View ArticleKwaheri Taimur Saleh Juma
TAIMUR Saleh Juma ameaga dunia leo Jumatatu ya tarehe 22 Mei 2017. Inna lillahi wa Inna Ilayhi Raajiun. Tunamuomba Mola wetu amsamehe makosa yake yote na amfanyie wepesi katika safari ya khera – Aamin....
View ArticleUingereza yashambuliwa tena
Asubuhi ya leo imeamka na salamu za rambirambi, vilio na majonzi nchini Uingereza, kufuatia vifo vya watu 22 waliouawa kwenye mashambulizi ya kujitoa muhanga usiku katika uwanja wa michezo wa...
View ArticleWee Malisa, hapana kucheza na askari wa Magu!
“Nawaambia ndugu wa Malisa na wengine wote, Malisa tumeshamkamata na yuko kituo cha polisi Majengo… Mtu yeyote ambaye alionewa na Malisa aje amuone kituoni… Hapatakuwa na Scorpion hapa Kilimanjaro…”...
View ArticleJapo chini, natukae, tusome na tucheze
Mbunge wa Mwanakwerekwe, Ali Salim Khamis, leo ametembelea baadhi ya skuli kwenye jimbo lake kushuhudia uhalisia wa mambo ulivyo, ambapo katika moja ya skuli hizo aliungana na wanafunzi kukaa chini...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 24 Mei 2017
Leo ndiyo siku ambayo Rais John Magufuli anatazamiwa kupokea kile kiitwacho “Ripoti ya mchanga wa dhahabu”, huku bunge likiambiwa utalii umeongezeka maradufu ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita...
View ArticleWhat am seeing?
I’m seeing the hope and optimism Penye magugu yasiyo na nidhamu Yaotayo kwa nguvu kwa kila msimu I’m seeing the hope and optimism Kwenye elimu isiyo na form Itoayo wasomi walio mabomu I’m seeing the...
View ArticleZanzibar ya umjuwaye, si ya ukijuwacho
Swahibu yangu mmoja amenipenyezea taarifa za baadhi ya wasomi vijana waliokuwa wakihudumu sehemu muhimu za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kupigwa dafrau la uhamisho, wakipelekwa maeneo...
View ArticleZitto ataka bunge kuchunguza mauaji ya Kibiti
Wakati hali ya wasiwasi ikizidi kuendelea kwenye wilaya za Kilwa, Mkuranga, Kibiti na Rufiji, ambako mauaji ya kunyemelea yameshaangamiza maisha ya watu wapatao 30, wakiwemo wenyeviti 20 wa serikali za...
View Article