Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 21 Mei 2017 

$
0
0

Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alimkabidhi rasmi uwenyekiti wa Jumuiya hiyo mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni, simulizi za mauaji ya polisi dhidi ya watu wanaodaiwa ni majambazi na kwenye michezo bado shamrashamra za ubingwa wa Young Africans kwenye soka la Tanzania Bara ndizo mada kuu magazetini kwa leo. 


Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: Afrika ya Mashariki, EAC, magazeti, Magufuli, Museveni, Tanzania, Yanga

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles