Mimi ni Profesa
Mimi ni Profesa, nina PhD ya Political Science Na ng’ombe wa maziwa, na magari ya kubeba kifusi Nyumbani kwangu hakuna vitabu, kuna nyasi Mara ya mwisho nilisoma Chuo cha Barkley Waendako watu teule...
View ArticleTumepigwa tena, mchanga wa dhahabu aibu tupu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapoteza kati ya Shilingi bilioni 829.4 na shilingi trilioni 1.439 kutokana na kusafirisha mchanga wenye madini nje ya nchi, kwa mujibu wa mwenyekiti wa Tume ya Rais ya...
View ArticleMchanga wa dhahabu wenda na Muhongo
Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kuachia nafasi hiyo kwa hiyari yake kufuatia ripoti ya Kamati Maalum ya Kuchunguza Mchanga wa Madini kumuonesha kuwa...
View ArticleSasa ni rasmi, Muhongo out
Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. Hatua hiyo inajiri masaa machache tu tangu Rais Magufuli kumtaka...
View ArticleKishaanza kunuka, ACACIA yakanusha ‘kupiga’ mchanga wa madini
Moja ya kampuni zinazotajwa na ripoti ya Profesa Abdulkarim Mruma iliyowasilishwa leo kwa Rais John Magufuli, ACACIA Mining Plc, imekanusha kile kinachotajwa kuwa ni ‘wizi wa madini’ kupitia mchanga...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 25 Mei 2017
Habari kubwa kuliko zote ni uwasilishwaji wa ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini unaosafirishwa nje ambayo imeibuwa kiwango kikubwa cha utoroshaji madini na pia kumuangusha waziri mwenye dhamana...
View ArticleMaalim Seif akutana na ujumbe wa NDI ya Marekani
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, jana alimkaribisha na baadaye kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 27 Mei 2017
Mashaka mengi yazidi kuibuliwa kwenye sakata la mchanga wa madini unaosafirishwa nje ya nchi, na kwenye michezo ni mechi kati ya Mbao FC na Simba SS. Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: ACACIA,...
View ArticleLa mchanga na uovyo wa Muhongo
Rais wa nchi aliyechaguliwa kidemokrasia hawezi kukubalika kwa watu wote anaowaongoza, ni lazima uwepo upinzani toka upande wa pili. Ikitokea rais akakubalika kwa watu wote kitu demokrasia kitakuwa...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo tarehe 28 Mei 2017
Kumalizika kwa mkutano mkuu wa CHADEMA, uchambuzi kuhusu mchanga wa madini unaosafirishwa nje, na michezo ni ushindi wa Simba Sports Club dhidi ya Mbao FC hapo jana. Filed under: MAGAZETINI LEO...
View ArticleMagufuli ambwaga Mangu
Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemuondosha mkuu wa jeshi la polisi, IGP Ernest Mangu, na nafasi yake kuchukuliwa na kamanda wa polisi wa kanda maalum ya Dar es Salaam,...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 29 Mei 2017
Mada kuu takribani kwenye magazeti yote ni ile ya kung’olewa kwa mkuu wa polisi, IGP Ernest Mangu, na nafasi yake kuchukuliwa na kamanda wa polisi wa kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro. Kwenye...
View ArticleIshangia Ramadhani
Ishangia Ramadhani, nianze fanya hashuo Nijiweke kiblani, hijifanya mwanachuo Ilhali ni shetani, nawavua watu nguo Ikingia Ramadhani, mimi hujifanya mwema Nikalisha majirani, wanyonge na mayatima...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 30 Mei 2017
Kuapishwa kwa mkuu mpya wa polisi, IGP Simon Sirro, kuendelea kwa mjadala mkali juu ya hatua ya Rais John Magufuli kuzuwia mchanga wa madini unaosafirishwa nje na kwenye michezo, bado mwangwi ni...
View ArticleMiaka 60 CCM imeshindwa kuonesha ubora wake
MTU mmoja nisiyeelewa yuko upande gani kiitikadi, kama anafuata itikadi za upinzani au za chama tawala, kanipa wazo la kufikirisha kama mojawapo ya changamoto za kisiasa. Kanitumia ujumbe mfupi wa...
View ArticleUzanzibari na utaifa wa ncha tatu
Anuani ya mjadala huu inalazimika kuwa refu kutokana na haja iliyopo ya kufafanua na kuweka wazi utata uliopo katika jamii na siasa za Zanzibar ambazo zimefanywa kuwa na utamaduni wa kuakisi utata huo....
View ArticleSiasa ndizo hufuta mfafano wetu
Panza ni moja ya visiwa vinavyounda nchi nzima ya Zanzibar, ambayo ni mkusanyiko wa visiwa vingi, vikubwa vikiwa ni Pemba na Unguja. Kisiwa hiki kipo karibu zaidi na kisiwa cha Pemba kwa upande wa...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 31 Mei 2017
Mjadala na ufafanuzi zaidi wa uteuzi wa IGP mpya, suala la mchanga wa madini unaosafirishwa nje, na bajeti ya serikali na kwenye michezo ni kuanza kwa usajili kwa timu za Yanga na Simba. Filed under:...
View ArticleCUF yaishambulia SMZ kwa ubaguzi
Chama cha Wananchi (CUF), ambacho kinaamini kuwa kiliporwa ushindi wake kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015 visiwani Zanzibar, kimeilaani Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed...
View ArticleNingekuwa Magufuli…
Najuwa kuwa kuna wakati Rais John Magufuli alitamani lau angelikuwa mkuu wa polisi ili “alale nao mbele kwa mbele” wale anaowaona kuwa wanaleta mchezo na dola. Inaonekana pia amiri jeshi mkuu wetu huyu...
View Article