Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, juu ya mauaji ya Kibiti yachambuliwa, bajeti ya kilimo bungeni, na huku kurasa za michezo zikijikita kwenye hali ya soka baada ya vijana wa U17 kutolewa mashindanoni lakini wakiwa na moyo na moto mpya.
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: Gabon, Kibiti, magazeti, Mwigulu Nchemba, Serengeti Boys, Tanzania, U17
