Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, azungumzia mauaji ya kushitukizia yanayoendelea mkoani Rufiji akiyaita “fumbo”, shutuma dhidi ya Anthony Diallo juu ya uhusiano wake na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na kwenye safu ya michezo, kwa mara nyengine tena ni sherehe za Yanga kukabidhiwa kombe la ubingwa ilhali Simba ikisaka haki yake FIFA.
Filed under: MAGAZETINI LEO
