Kawaida simba anatambuliwa kuwa Mfalme wa Mbugani akiogopewa na kila mnyama sio tu kwa ukatili wake, bali zaidi kwa uthubutu wake mbele ya yeyote awaye. Lakini hapa baada ya kumla ndama wa nyati, kundi la nyati likawavamia pia watoto wa simba. Inaitwa piga-nikupige. Kama mwanao una uchungu naye, usile wa wenzio.
Filed under: VIDIO
