Disemba 10 na uhuru wa Zanzibar uliopuuzwa
Mwandishi Harith Ghassani anakiita kitabu chake Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, yumkini akimaanisha kile kilichotokea tarehe 10 Disemba 1963 kilikuwa kiini macho cha aina yake ambapo Zanzibar ilijipatia...
View ArticleLa Magufuli na mifano yake ya Libya
Mwaka 2007, nilibahatika kwenda Libya kwa mafunzo ya muda mfupi, wakati kiongozi wa wakati huo, Marehemu Muammar Gaddafi, akiwa kwenye propaganda kubwa ya kuitangaza nchi hiyo kama taifa la mfano...
View ArticleZanzibar yetu yaumwa, tuitibuni
Siku hizi ni kawaida kuwasikia watu – hasa wasomi na wataalamu waliobobea kwenye fani zao hapa Zanzibar – wakisema “kwa tatizo hili bora pawepo mtaala maalum unaofundishwa maskulini ili kuliondosha’....
View ArticleChidi Benzi anatushangaa tunavyomshangaa
NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu yako katika dakika za majeruhi katika mechi muhimu. Yote haya hayazidi...
View ArticleHistoria itatuhukumu na kutulaani
HISTORIA ni nzito. Tukiingia 2017 tunaiona yetu sisi kuwa ni zigo kubwa la dhambi za watawala wetu pamoja na zetu wenye kuwaachia watawala wafanye wayafanyayo. Tunawaachia wajifanyie watakavyo kwa...
View ArticleMiaka 53 ya Mapinduzi: Baina ya uhuru wa kweli na uhalisia
Katika moja ya hotuba zake alizozitoa mwaka 1961, mtu anayetajwa na ‘historia rasmi’ kuwa muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume, anasimulia kisa cha mama mmoja mwanachama wa Afro...
View ArticleMapinduzi yalifanyika robo siku, chinjachinja ikaendelea milele
Ule ukarimu, ustaarabu wa Waswahili wa Pwani ulifutika kisha ukungu wa damu za wengi wasio na hatia ndio uliofunika mitaa, fukwe, viambaza na chochoro za visiwa vya Zanzibar, hasa Unguja. Siku ya...
View ArticleDhuluma dhidi ya Uamsho itakwisha lini?
Ni zaidi ya mwaka wa tatu sasa tangu dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwakamata viongozi na wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu visiwani Zanzibar kwa tuhuma za ugaidi. Kwa...
View ArticlePicha kubwa ya uchaguzi wa Dimani
Imethibiti kwamba pamoja na mikakati yote inayotumika kuhakikisha wanavunja hamasa ya wanachama na wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), imeshindikana na bado watawala wanaendelea kuuona uthubutu ule...
View ArticleTanzania: “Risasi zilinyesha kama mvua”
Hakuna ushahidi wowote uliothibitisha kwamba waandamanaji walifanya vitendo vyovyote vya utumiaji nguvu. Hata hivyo, namna vyombo vya usalama vilivyojitayarisha kabla ya tarehe 27 Januari, inaonyesha...
View ArticleHizi siasa si mchezo wa karata
SAFARI moja Mei 2001, Marehemu Kanali Muammar Qadhafi, kiongozi wa Libya wa wakati huo, alikuwa Uganda kwa ziara ya siku nne. Alipokuwa huko alisema maneno ya kumshajiisha mwenyeji wake Rais Yoweri...
View ArticleBaada ya tarehe 27 Januari, Wazanzibari hawakuwa tena na cha kupoteza ila...
Wakati naanza kutaka kuandika kumbukumbu hizi mwili umenisimka mara kadhaa maana katika akili yangu tukio lile halitafutka. Si kwa kuwa niliona chochote kile kwa macho yangu, la hasha, lakini nimeona...
View ArticleUtawala unapopuuza mauaji yake ya Januari 2001 na kutuletea mazombi
Zanzibar imejinamia. Tarehe ya leo imesadifiana na tarehe ya miaka 16 iliyopita pale vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vilipowafyatulia risasi, kuwauwa, na hata kuwatia vilema...
View ArticleJanuari 27: Walikuwa watu, hazikuwa nambari tu
Mwandishi nguli visiwani Zanzibar, Maalim Ally Saleh, ameandika makala makhsusi kuwakumbuka wahanga wa matukio ya Januari 26 na 27, 2001. Ni makala ambayo imeshiba taarifa za kweli na kila mwenye...
View ArticleKauli ya Magufuli si ya kichekesho, ni ya kupingwa vikali
Nimesikiliza sehemu ya hotuba ya Rais John Magufuli wakati wa sherehe za Siku ya Sheria leo (Alkhamis, 2 Februari 2017). Nimemsikiliza aliposema wanaokamatwa na nyara za serikali au madawa ya kulevya...
View ArticleNdege mjanja hunaswa na tundu bovu
SIJUI kwa nini hasa, ingawa nina hakika sababu ninazo, lakini tangu juzi akili yangu imetekwa na ndege na kasisi. Imekuwa ikivutwa na kuvutiwa na viumbe hivyo. Na Ahmed Rajab Nimekuwa nikiufikiria...
View ArticleLa Makonda lina makandokando yake
Ghafla polisi wamevamia kwa mama muuza gongo wakiwa na mabunduki yao. Kufumba na kufumbuwa, risasi zikafyatuliwa hewani. “Wote kaa chini, mukikimbia nitauwa mtu!” Anapaza sauti mmoja wa maaskari...
View ArticleJecha ameifisidi akili yake
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha. NILIPATA kusema kuwa Jecha Salim Jecha amejidhalilisha, amejidharau na kujishusha hadhi. Haaminiki tena pamoja na kuwa ni mstaafu...
View ArticleNamna “uhalali” wa mamlaka ya SMZ ulivyohojiwa
Tundu Lissu Mutakuwa mumesoma hapa na pale maelezo ya kilichotokea Mahkama ya Kisutu Jana (14 Februari 2016), wakati kesi ya jinai Na. 208/2016 ilipoanza kutolewa ushahidi. Upande wa Mashtaka (Jamhuri)...
View ArticleHistoria za wanafunzi wa zamani zaweza kuinua elimu
Kuna utaratibu wa skuli kuwa na sentensi yake maalum ya kuwavutia watu katika elimu. Sentensi hii huitwa ‘kaulimbiu’ au kwa lugha ya Kiingereza huiutwa “motto”. Iwe ya serikali au ya mtu binafsi,...
View Article