Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema mahusiano ya kiutawala yaliyopo kati ya Tanganyika na Zanzibar yamekosa uwazi juu ya ni kipi hasa kilichopo – ama kama ni muungano, ukoloni, ukaliwaji, au ubia. Mtazame na msikilize kwenye vidio hii hapo chini alipokuwa akizungumza kwenye kongamano la kuiangalia safari ya kisheria ya mfumo wa Muungano wa Tanzania.
Filed under: VIDEO Tagged: Muungano, Othman Masoud, Tanganyika, Tanzania, Zanzibar
