Mada kuu kwenye magazeti ya Tanzania hivi leo hotuba ya jana ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (Habari, Utamaduni na Michezo) Mbunge Joseph Mbilinyi ambayo ililazimishwa na Mwenyekiti Mussa Zungu ifutwe kurasa zake 17.
Click to view slideshow.Filed under: HABARI Tagged: Joseph Mbilinyi, magazeti, Tanzania
