Msemaji wa Kambi ya Upinzani Bungeni (Sheria na Katiba), Mbunge Tundu Lissu, amewasababisha wajumbe wa baraza la mawaziri wa serikali ya Rais John Magufuli kuchangiana kwenye kupambana naye bungeni, baada ya kuibua ukosoaji mkubwa dhidi ya namna serikali hiyo inavyokiuka sheria na taratibu za nchi ovyo ovyo. Msikilize hapo chini.
Filed under: AUDIO Tagged: John Magufuli, katiba, sheria, Tanzania, Tundu Lissu
