Miongoni mwa yaliyoangaziwa leo ni mauaji yanayoendelea Kibiti, kauli ya Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hujuma za Mamlaka ya Urajisi Tanzania Bara (RITA) na kurudi tena kwa Edward Lowassa polisi hivi leo. Kwenye michezo, takribani kurasa zote zimetanda tukio la kukamatwa kwa kiongozi mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF), Jamal Malinzi, na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TFF).
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: cuf, Edward Lowassa, Jamal Malinzi, Kibiti, Maalim Seif Sharif Hamad, magazeti, RITA, Tanzania, TFF
