Mada kubwa kuliko zote ni tukio la jana la kuitwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kwa mahojiano ya masaa manne na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai jijini Dar es Salaam, huku taarifa ya Rais John Magufuli kukivunja Kikosi Kazi cha Matokeo Chanya (BRN) kilichowekwa chini ya Ikulu na mtangulizi wake, Jakaya Kikwete, ikichukuwa pia nafasi yake. Kwenye michezo, ni mchezo wa kucheza na usajili.
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: BRN, Lowassa, magazeti, Tanzania
