Miswaada ya Sheria inayotajwa kulinda rasilinali za nchi, mashitaka ya utakatishaji fedha dhidi ya viongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF) na timu ya Simba Sports Club na kauli za CHADEMA kufuatia mjumbe wake wa Kamati Kuu, Edward Lowassa, kuitwa tena polisi ndizo habari kuu leo.
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: Edward Lowassa, Jamal Malinzi, magazeti, Tanzania, TFF
