Hotuba ya jana ya Rais John Magufuli kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Sabasaba pamoja na uwezekano mwengine wa watuhumiwa wa ufisadi kupelekwa mahakamani ndizo mada kubwa, huku michezoni mechi ya timu ya taifa ya Tanzania Bara, Taifa Stars, na Bafana Bafana ya Afrika Kusini na uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF).
Filed under: MAGAZETINI LEO
