Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Baada ya Magufuli kumwaga ugali, Lissu amwaga mboga

$
0
0

Baada ya Rais John Magufuli kutishia ‘kuwashughulikia’ wabunge wanaosemasema ovyo dhidi ya anachokiita mwenyewe vita vyake vya kiuchumi na kumtaka Spika Job Ndugai naye afanye hivyo hivyo bungeni, sasa Tundu Lissu ameweka kila kitu hadharani.

Msikilize hapa.

 


Filed under: SAUTI Tagged: bungeni, Magufuli, Makinikia, Ndugai, Tundu Lissu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Latest Images

Trending Articles