Ningekuwa kada…
Kwanza ningetetea yote yatendwayo na utawala wa nchi yangu, tena kwa mitusi yote, vitisho na kejeli, kwa kujikweza wakati tumboni hamuna hali. Ningegombana na kuhasimiana na yeyote ili nionekane nami...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 6 Juni 2017
Kuagwa kwa mwili wa Marehemu Mzee Phelomon Ndesamburo, aliyekuwa mwasisi wa CHADEMA na pia mbunge wa muda mrefu wa Moshi Mjini sambamba na hatua ya Bunge kuwazuwia wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya...
View ArticleMama Mghwira aanza rasmi ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM – Tanzania Bara), Rodrick Mpogolo, akimkabidhi ilani ya uchaguzi ya CCM Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro, Mama Anna Mghirwa, mara tu baada ya kuapishwa na...
View ArticleMauaji ya Imamu ‘yamfuata’ IGP Sirro kila aendapo
Familia ya kijana Salum Mohammed Almasi aliyeuawa na jeshi la polisi jijini Dar es Salaam katikati ya mwezi uliopita kwa tuhuma za ujambazi, imeendelea kumuandama Mkuu wa Polisi, IGP Simon Sirro,...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 7 Juni 2017
Kuapishwa kwa mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghirwa, kuzikwa kwa Mzee Phelomon Ndesamburo, na ziara ya IGP Simon Sirro huko Kibiti na Rufiji ndizo mada kuu katika safu za mbele za magazeti ya...
View ArticleKifo cha mwanafunzi Pemba kisitumike kuadhibu kisiwa kizima kielimu
Nianze makala yangu kwa kuwapa pole wazazi wa mtoto aliyepatwa na faradhi ya kifo ambacho kinaelezwa kusababishwa na adhabu ya kupitiliza kutoka kwa walimu wake kwa kosa linalodaiwa la kuiba solatepu...
View ArticleNdoto za Dubai, Singapore zinavyoyeyuka Z’bar
Ilikuwa ni asubuhi ya siku ya Jumapili ya Mei mwaka huu, ndipo nilipopokea barua-pepe kutoka kwa mwanahistori na gwiji wa fasihi ya Kiswahili na msomi wa sanaa, Professa Ibrahim Noor, mzaliwa wa...
View ArticleHata bila bakora, malezi yetu yanaweza kuwa bora
Chimbuko hasa la makala hii ya leo ni tukio la hivi karibuni kisiwani Pemba, ambako mwanafunzi wa miaka 11, Saleh Abdullah Masoud, alifariki dunia siku tatu baada ya kupigwa na kuadhibiwa vikali na...
View ArticleMghwira si mwenyekiti tena ACT
Licha ya hapo awali kuripotiwa akisema kwamba angeliendelea na uwenyekiti wa chama chake cha ACT-Wazalendo hata baada ya kuapishwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro, sasa Bi Anna Elisha Mghwira si...
View ArticleKauli ya Mutungi kwa CUF yamkera Mbatia
Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ambaye pia ni mbunge wa Vunjo na mwenyekiti wa taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amemtaka Jaji Francis Mutungi kutekeleza kweli...
View ArticleKamanda Sirro, gunia la misumari lipo utosini pako
Siku zote dhulma huzaa chuki, chuki ikazaa visasi na visasi vikazaa vifo au ulemavu. Lakini pia inapostawi dhulma, barka hutoweka kwani kimaumbile barka ni tunda la haki. Amani ni miongoni mwa barka...
View ArticleRufiji hakufungiki hakufuturiki
Mauaji ya kuvizia yanaendelea kulikumba eneo la Kibiti, Rufiji na Mkuranga ambapo askari mwengine wa mgambo anatajwa kupigwa risasi....
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 8 Juni 2017
Makisio kuhusu itakavyokuwa bajeti kuu ya Tanzania itakayosomwa leo na waziri wa fedha bungeni, kuondolewa kwa Anna Mghwira kwenye uwenyekiti wa ACT Wazalendo, kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama...
View ArticleCUF yaja juu viongozi wake kukamatwa
Chama cha Wananchi (CUF) kimelijia juu jeshi la polisi kwa kile kinachosema ni kukamatwa kwa viongozi wake wa Mkoa wa Pwani, katika wakati ambapo mauaji na mashambulizi ya kuvizia yanaendelea kwenye...
View ArticleSuala la Pwani lisiachwe kwa Polisi peke yao
KINACHOENDELEA kwa sasa katika maeneo ya mkoa wa Pwani, hasa Mkuranga, Kibiti na Rufiji, ni hali ya hatari. Sidhani kama kuna Mtanzania yeyote anayependezwa na kitu hicho au anayeweza kuona hilo ni...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 9
Mada kubwa leo ni bajeti iliyowasilishwa jana na waziri wa fedha na kwenye michezo ni Yanga kufuata nyayo za Simba kwenye mashindano ya SportPesa. Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: bajeti, magazeti,...
View ArticleKilichokosekana kwenye bajeti ni usalama wa mkulima
Wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, niligombea ubunge katika Jimbo la Busokelo kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo. Endapo ningechaguliwa kwa kura nyingi na kuwa mbunge niliazimia kwa dhati...
View ArticleKutana na mwanamke aliyemzaa nduguye
Mwanamke mmoja nchini Uingereza amezaa na baba yake wa kambu ili kumuwezesha mama yake mzazi kupata mtoto mwengine. Mama mzazi huyo, Jacky Edwards mwenye umri wa miaka 47, hakuwa tena na uwezo wa...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 10 Juni
Mengi yanachambua bajeti iliyowasilishwa juzi bungeni na waziri wa fedha wa Tanzania Bara na mengine yanagusia mauaji yanayoendelea sasa mkoani Pwani. Kwenye safu za michezo, pamoja na mengine, ni...
View ArticleViongozi wa CUF waendelea ‘kutekwa’
Kuna taarifa kwamba watu wanaoshukiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola wanaendelea na operesheni ya kimyakimya ikiwalenga mahsusi viongozi wa ngazi za chini wa Chama cha Wananchi (CUF) mkoani Pwani....
View Article