Kwa mara nyengine, mbunge wa Hai na mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ameandamwa na mikasa kutoka serikalini.
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Hai ikiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo, Gelasius Byakawa, wamevamia shamba la kilimo cha kisasa linalomilikiwa na Mbowe lililopo nyumbani kwake Macha me, mkoani Kilimanjaro, na kuharibu miundombinu ya shamba pamoja na mazao na mimea mbali mbali.
Sikiliza hapo chini:
Filed under: SAUTI
