Takribani magazeti yote yanazungumzia Ripoti ya Kamati ya Pili ya Rais juu ya usafirishaji mchanga wa madini nje ya nchi na makandokando yake, huku michezoni wakijikita na usajili kwenye timu za soka za Simba na Yanga.
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: CCM, magazeti, Magufuli, Makinikia, Tanzania, ufisadi
