Rehema Leonard Yohana alihama kwao Dodoma, uliko mji mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tangu mwaka 1997 na kupageuza Zanzibar kuwa nyumbani pake na watoto wake, na sasa sio tu kwamba anatumia maarifa yake kukifanya kilimo cha mahindi kuwa njia kuu ya maisha yake, bali pia anavunja mwiko kuhusu uwezo wa Zanzibar kujitegemea kwa chakula. Anasema Zanzibar inaweza. Angalia vidio yake hapa:
Filed under: VIDIO
