Leo ni siku ambayo ripoti ya Kamati ya Pili ya Rais juu ya usafirishaji mchanga wa madini nje ya nchi itakapowasilishwa, huku mauaji ya Kibiti yakiendelea na kauli kali zikitoka. Kwenye safu ya michezo, pamoja na mengine, ni suala la usajili wachezaji.
Filed under: MAGAZETINI LEO
