Amina asiyeaminika
Katika majadiliano yake na mwandishi wa gazeti la Nipashe yaliyochapishwa jana, unaweza kuuona kirahisi mughma alionao Balozi Amina Salum Ali, baada ya kuhusika moja kwa moja katika uchafuzi wa suluhu...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 1 Juni 2017
Kifo cha ghafla cha aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini na pia Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo ndiyo habari iliyopewa kipaumbele kwenye magazeti mengi ya leo, ambayo...
View ArticleUjasiriamali ni kujiamini
Ujasiriamali una siri nyingi sana. Mojawapo ni kuuamini na kujiamini kuwa ulipo ndipo, unachokitenda ni sahihi, na misukosuko iliyomo ndani yake ni sehemu ya mafanikio makubwa ya baadaye. Ndicho...
View ArticleBado CUF, Uzanzibari ‘vyamuuma’ Said Miraj
Wakati Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kupita kwenye moja ya vipindi vyake vigumu kabisa kwenye historia yake ya nusu karne, Said Miraj Abdullah, ambaye aliwahi kushikilia nafasi nyingi za juu...
View ArticleWacheni propaganda, ukatili hauna kabila wala dini
Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii tangu katikati ya mwezi Mei mwaka huu, ikimuonesha Mmanga (Mwarabu) anampiga mwanamke kwa sapatu, lakini hatuelezwi na hiyo video huyo mwanamke ni nani,...
View ArticleUnajuwa maana ngapi za ‘shibe’ na ‘njaa’?
Nathalie Arnold ametumia muda mwingi kufanya utafiti kisiwani Pemba kuhusiana na lugha na mahusiano ya kijamii na moja ya ugunduzi wake ni namna Wapemba wanavyofasili shibe, njaa na vyakula kwenye...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 2 Juni 2017
Leo magazeti mengi yanazungumzia hotuba ya jana ya Rais John Magufuli akizinduwa mfumo wa kulipia kodi kwa njia ya elektroniki, akitaka kampuni zote za madini na mawasiliano zijisajili haraka ama...
View ArticleFursa Kijani na ukombozi wa vijana Zanzibar
“Tukiwezeshwa tunaweza” ni msemo maarufu hasa kwa wanawake ambao wanajishughulisha na ujasiriamali kwa ajili ya kujiletea maendeleo. Lakini msemo huu unatafisiriwa vizuri hapa Zanzibar ambapo vijana...
View ArticleKwa nini siwezi kuuamini muhimili huu katika madini
Wabunge wa chama fulani na ambao kutokana na wingi wao ndio waamuzi wa kila kitu kwenye muhimili huo uliotakiwa kuwa muhimu nchini petu, nao wanataka tuwaamini na tuliamini bunge hili kwenye hili...
View ArticleMama asimulia siku za mwisho za mwanawe aliyepigwa na walimu
Mwanafunzi Saleh Abdullah Masoud mwenye umri wa miaka 11 amefariki dunia kisiwani Pemba, baada ya kupigwa na kuadhibiwa na walimu wake wa skuli ya Laurent International. Hapa mama yake anasimulia siku...
View Article“Mama waulize walimu wangu, niliwakosea nini?”
Kabla ya kifo chake kilichosababishwa na kipigo na adhabu alizopewa na walimu wake katika skuli ya Laurent International kisiwani Pemba, mwanafunzi Saleh Abdallah aliyekuwa na umri wa miaka 11 wakati...
View ArticleUjenzi wa reli ya Dar – Moro sasa rasmi
Shirika Hodhi la Rasilimali za Reli la Tanzania Bara (RAHCO) limetangaza kukamilika kwa malipo ya awali ya ujenzi wa reli mpya ya umeme ambayo itaanzia Dar es Salaam hadi Morogoro. Akiongea na...
View ArticleAnna Mghwira wa ACT ndiye mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
Rais John Magufuli amemteuwa aliyekuwa mgombea mwenzake wa urais kwenye uchaguzi wa 2015 kupitia chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro kujaza nafasi iliyowachwa na...
View ArticleCHADEMA yaapa kumuaga Ndesamburo ‘viwavyo naviwe’
Muda mchache baada ya kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuripotiwa kuzuia matayarisho ya kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Moshi Mjini, Marehemu Mzee Phelomon Ndesamburo, katika...
View ArticleCCM Zanzibar na viti vyao vya barafu
Jiwe la barafu lililoivia baridi kali liko mithili ya chuma. Hufanana na chuma kwa uzito na hata ugumu wake. Likikuangukia mguuni ni sawa tu na uliyeangukiwa na kipande cha chuma kwa kile kishindo na...
View ArticleCUF yahamia ofisi mpya, yamuachia Lipumba Buguruni
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, leo amezinduwa rasmi jengo la ofisi za chama hicho ambazo zitatumika kama ofisi ya wabunge na vile vile kama eneo mbadala kwa shughuli...
View ArticleMaalim Seif asema serikali ya Shein haipo kikatiba na itaondoka
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema serikali ya Zanzibar inayoongozwa sasa na Dk. Ali Mohamed Shein haipo kikatiba na kwamba lazima itaondoka. Akizungumza na...
View ArticleLipumba si mtu wa suluhu – Maalim Seif
Huku mgogoro uliozushwa kwenye Chama cha Wananchi (CUF) ukiwa hauonekani kumalizika kwa siku za karibuni, Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, amerejelea msimamo wake kuwa haoni haja...
View ArticleCCM inajiandalia kiama chake yenyewe
CHAMA CHA MAPINDUZI kinachotawala nchini Tanzania ni muunganiko wa vyama viwili vya siasa: TANU kwa upande wa Tanzania Bara na ASP kwa upande wa Zanzibar. Kwa hapa nataka niiangalie CCM ya upande wa...
View ArticleUsiichome kisu Zanzibar!
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono tukio la hivi karibuni mjini Unguja ambapo watu sita walichomwa visu. Haihitajiki nguvu nyingi za kufikiria ili uelewe kuwa kilichofanywa sio sahihi. Licha...
View Article