Kifo cha ghafla cha aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini na pia Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo ndiyo habari iliyopewa kipaumbele kwenye magazeti mengi ya leo, ambayo yamezungumzia pia uwezekano wa kuvunjwa kwa baraza la mawaziri la Rais John Magufuli, huku michezoni kukiwa na taarifa mchanganyiko kutoka kuanza mazoezi kwa timu ya Taifa Stars kwa ajili ya mechi na hadi rufaa ya Simba katika Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Filed under: MAGAZETINI LEO
