Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

“Mama waulize walimu wangu, niliwakosea nini?”

$
0
0

Kabla ya kifo chake kilichosababishwa na kipigo na adhabu alizopewa na walimu wake katika skuli ya Laurent International kisiwani Pemba, mwanafunzi Saleh Abdallah aliyekuwa na umri wa miaka 11 wakati wa kifo chake, alimuomba mama yake akamuulizie kwa walimu wake kosa alilotenda hadi kustahili adhabu hiyo kubwa iliyomuondolea uhai wake. Tazama vidio hii ya mama yake akisimulia siku za mwisho za mwanawe.


Filed under: VIDIO

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles