Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Ujasiriamali ni kujiamini

$
0
0

Ujasiriamali una siri nyingi sana. Mojawapo ni kuuamini na kujiamini kuwa ulipo ndipo, unachokitenda ni sahihi, na misukosuko iliyomo ndani yake ni sehemu ya mafanikio makubwa ya baadaye. Ndicho alichokigundua Happy Seiph Rwechungura, mwanamke mjasiriamali anayejishughulisha na ufugaji kuku wa kienyeji na kambare katika mji wa pwani mwa Tanzania, Bagamoyo. Angalia vidio yake kujielimisha zaidi.

 


Filed under: VIDIO Tagged: bagamoyo, kuku wa kienyeji, mwanamke, Tanzania, ujasiriamali

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles