Nathalie Arnold ametumia muda mwingi kufanya utafiti kisiwani Pemba kuhusiana na lugha na mahusiano ya kijamii na moja ya ugunduzi wake ni namna Wapemba wanavyofasili shibe, njaa na vyakula kwenye historia na maisha yao. Ambatana naye kwenye vidio hii.
Filed under: VIDIO Tagged: chakula, Kiswahili, Nathalie Arnold, njaa, pemba, shibe
