Trump hudanganya mara 5 kwa siku
Rais Donald Trump wa Marekani ameshatoa madai ya uongo zaidi ya mara 1,000 tangu aingie Ikulu ya White House, linaripoti gazeti la Washington Post. Madai hayo ni yanajumuisha kauli kadhaa kuwa Sheria...
View ArticleSerikali inapojibu mabomu ya Lissu kwa risasi za maji
Inaonekana mtazamo wa serikali ya Rais John Magufuli kumuelekea mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Tundu Lissu, unaanza...
View ArticleKitendawili cha Angola bila ya dos Santos
Na AHMED RAJAB KWA muda mrefu tangu miaka ya mwisho ya 1960 nimekuwa nikizururazurura barani Afrrika nikinusanusa siasa au kusaka habari. Nimezizuru nchi zilizokuwa na amani pamoja na zilizokumbwa na...
View ArticleUKUTA umefunua siri ya Tanzania – Lissu
Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wanafikiri kwamba nchi yetu inatawaliwa na chama cha siasa, yaani CCM. Hata hivyo, wapo wachache ambao walishaanza kuhoji kama CCM ni chama cha siasa hata kabla mfumo...
View ArticleWafanyabiashara ‘wampa siku 30’ Magufuli
UONGOZI wa wafanyabiashara wa Tanzania bara na Zanzibar wametoa siku 30 Rais John Magufuli kuhakikisha anatatua changamoto zinazowakabili katika shughuli zao vinginevyo maduka yote hata ya vichochoroni...
View ArticleKikwete si wa kuyasema haya
Katika wiki iliyopita, vyombo vya habari nchini Tanzania vilijawa na habari na tahariri kuhusu marais wawili wastaafu wakiwa kwenye jukwaa la viongozi wastaafu wa Afrika nchini Afrika Kusini. Katika...
View ArticleTanzania hailiwi na rushwa pekee, bali pia na ufisadi wa kisiasa
Majuzi Rais John Magufuli alimuapisha Brigedia Jenerali John Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) akiweka msisitizo kwamba anataka kuona wala rushwa...
View ArticleUamuzi wa Mahakama ya Juu Kenya ufuatiwe na marekebisho
Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya DW, Andrea Schmidt, anasema baada ya Mahakama ya Juu ya Kenya kuufuta uchaguzi na kuamuru mwengine, sasa ni wakati wa Kenya kuendelea kuonesha njia kwa kuheshimu maamuzi...
View ArticleRais Kenyatta ‘aishambulia’ idara ya mahakama
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya anasema kuwa nchi hiyo ina “tatizo fulani” na idara ya mahakama ambalo lazima lirekebishwe, huku akiinya idara hiyo kutoingilia kati majukumu ya tume ya uchaguzi,...
View ArticleUhuru aiambia mahakama isijaribu kuingilia kati uchaguzi
Siku moja tu baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kuufutilia mbali uchaguzi wa Agosti 8 uliompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta, kiongozi huyo ameitaka mahakama hiyo kutojaribu kuingilia kati majukumu ya...
View ArticleNguzo ya 7 mitaji ya mafanikio ni muda
Vitu vyote tunavyotaka kufanya iwe ni kupumzika, kulala, kutembea, kwenda kazini au kusafiri popote; tumepewa muda maalum. Lakini, hakuna mtaji au rasilimali muhimu inayopotea bure na kila mara kuliko...
View ArticleNguzo ya 8 ya mitaji ya mafanikio ni mahusiano mema
Pamoja na kufahamu mambo kadhaa ya kufanya peke yangu bila msaada, bado kilichoniwezesha kuandika na kutoa makala haya ni mahusiano mema. Tumezaliwa kutokana na mahusiano, tena mazuri sana, baina ya...
View ArticleUhuru Kenyatta: Mtu mzima akivuliwa nguo, huchutama
Ni bahati mbaya sana kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kuwa majaji wa Mahakama ya Juu wameamua kuufuta ushindi wa asilimia 54 aliotangaziwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwenye uchaguzi wa...
View ArticleFunzo la uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Kenya ni kuwa demokrasia hujengwa...
Uamuzi wa tarehe 1 Septemba 2017 wa Mahakama ya Juu ya Kenya kuufuta uchaguzi uliompa ushindi rais aliye madarakani na kuamuru kurejewa upya, umezua maoni mengi na yanayofanana ndani na nje ya taifa...
View ArticleUhuru Kenyatta na maafisa wa IEBC waondolewe
Siwezi kuacha asilani masuala ya uchaguzi wa Kenya yanipite bila kutoa maoni yoyote yale. Chaguzi zote za nyuma pia nilitoa maoni na ushauri kupitia vyombo vya habari. Tunakumbuka kuwa siku ya Ijumaa...
View ArticleProfesa atatulia akitimiza anachotakiwa
MSOMAJI wa MwanaHALISI, na hasa safu hii, amenijia. Kupitia ujumbe mfupi wa simu ya mkononi, akitumia Na. +255623248721, anasema, “… kwa kuwa CUF walitoa mwanya, yeye ameutumia kujirudisha kwenye kiti…...
View ArticleUkorofi wa CCM unazuia demokrasia
TONY Mwangi hakumchagua Raila Odinga anayewakilisha muungano wa National Super Alliance (NASA). Na wala hakumpendelea Uhuru Kenyatta wa Jubilee. Isitoshe hajachukia wala kujuta. Mpigakura huyu katika...
View ArticleMiezi 10 bila Ben Saanane
Miezi 10 sasa tangu Ben Saanane apotee. Umoja wa Kizazi cha Kuhoji Tanzania (UTG) tumeshirikiana na vyombo vya dola, taasisi na mashirika ya kiraia katika juhudi za kumtafuta. Tumetoa ushirikiano wote...
View ArticleTaifa lisilowaomboleza wahanga wake, haliwezi kuwaadhimisha mashujaa wake
Usiku wa kuamkia tarehe 10 Septemba 2011, meli ya Mv Spice Islander iliondoka kisiwani Unguja kuelekea Pemba ikiwa imejaza kupita uwezo wake halisi. Inasemekana kuwa ndani yake mulikuwa na abiria zaidi...
View ArticleMaisha yasiyotathminiwa hayana maana huyaishi
Ulimwenguni kote na katika zama zote jamii inapokuwa chini ya utawala ulioziba masikio na macho na nyoyo, watawala hupenda waachiwe wafanye watakavyo. Huwa wamejirithisha wenyewe nchi na raia wake. Na...
View Article