Baada ya miezi kadhaa ya vumbi na joto kali, hali ya hewa imeimarika suala ambalo limepelekea kiwango cha maradhi kupunguwa. Awali wakaazi wengi waliathiriwa na hali hio likiwemo ibuko la maradhi kama vifuwa, mapunye na ukurutu. wakiongea na Zaima TV, wengi wameonesha kufurahi hali hii.
Filed under: MULTIMEDIA